Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Falme ya Saudi Arabia kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 12, 2025. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na Rais wa Chama cha Wafanyabiashara wa Falme ya Saudi Arabia, Mheshimiwa Hassan Bin Moejeb Al Huwaizi katika mazungumzo ya Waziri Mkuu na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Falme ya Saudi Arabia yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 12, 2025. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
DSC 3125 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya wanyama Rais wa Chama cha Wafanyabiashara wa Falme ya Saudi Arabia, Mheshimiwa Hassan Bin Moejeb Al Huwaizi baada mazungungumzo na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Falme ya Saudi Arabia kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).