Home LOCAL WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI

WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira, akizungumza na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. 

Leo tarehe 18/2/2025 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, katika Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.