Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika kikao cha wakuu wa nchi za SADC na EAC kinachojadili mzozo wa kisiasa Mashariki mwa Congo DRC kikao hicho kinafanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam.
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Rais William Ruto wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akishiriki katika kikao hicho.
Rais Paul Kagame wa Rwanda akishiriki katika kikao hicho.
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Jamhuri ya Uganda akishiriki katika kikao hicho.
Rais Emerson Ndabuzo Mnangagwa wa Jamhuri ya Zimbabwe na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC.
Rais Hakainde Hichilema wa Jamhuri ya Zambia akishiriki katika kikao hicho kinachoendelea Ikulu jijini Dar es Salaam.