Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Itilima mkoani Simiyu ambao Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikuwa Mgeni rasmi kwenye uwanja wa Stendi Mpya ya Itilima, Februari 15, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Itilima wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Uwanja wa Stendi Mpya ya Itilima mkoani Simiyu, Februari 15, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka vijana wa CCM alipowasili kwenye Uwanja wa Stendi Mpya ya Itilima mkoani Simiyu kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Itilima, Februari 15, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa Skafu na Vijana wa CCM alipowasili kwenye Uwanja wa Stendi Mpya ya Itirima mkoani Simiyu kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Itirima, Februari 15, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili wiilyani Itilima ambako alikuwa Mgeni raismi katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Itilima uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi Mpya ya Itilima, Februari 15, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)