Home ENTERTAINMENTS HIZI HISIA ZIMENITESA SANA, NI MAAGANO YA KABLA SIJAZALIWA

HIZI HISIA ZIMENITESA SANA, NI MAAGANO YA KABLA SIJAZALIWA

 

Jina la Aisha kutokea Pangani, miaka miwili nyuma nilikuwa na mahusiano na huyo kijana, ni family friend so tulizoeana tangu utotoni tukasoma shule moja tukaja kupoteana 2015, tulikuja kuwasiliana tena 2022 ndio tukaanza mahusiano yetu.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kabla ya kuendelea, kuna hali huwa inanitokea tangu zamani, huyu jamaa kila akiwa karibu yani kama mkoa mmoja lazima nipate hisia kwamba yupo karibu. Anasoma nje ya nchi huko so anaweza akarudi na asiseme ila nitaanza kuhisi tu huyu mtu yupo karibu na ukimtafuta kweli karudi.

Hii hali mpaka leo ninayo japo tushaachana, halafu mama yangu aliwahi kuniambia baba yake na baba yangu waliwah kuapizana eti tukizaliwa tutaoana, kipindi hicho mama yangu na mama yake wote walikuwa wajawazito.

Japo siamini hii habari ya kuapizana ndo inanisababishia hivi, yaani mtu unamsahau mwaka mzima halafa ghafla tu unaanza kupata hizo hisia, ninachukia sana.

Mahusiano yetu hayakukaa sana maana mwenzangu alikuwa ananitishia kuniacha kila siku, naomba msamaha yanaisha mwisho wa siku nikaamua kumuacha aende tu.

Mbaya zaidi niliwahi kubeba mimba wakati tupo pamoja akaikataa nikaenda nayo hivyo hivyo ila mwisho ikaharibika maana nina shida ya moyo na kipindi hicho ndio hali ilikuwa mbaya zaidi.

Nilimueleza mama yangu kuhusu hali hiyo, yeye alichukua hatua hiyo na kunipeleka kwa Kiwanga Doctors ambaye alinifanyia matambiko ya kuondoa hisia na viapo vile walivyoapiana baba yangu na baba yake.

Tangu kupata huduma hiyo, hisia hizo hazijanijia tena na sasa nina mahusiano mengine ambayo nina furaha nayo sana na siku sio nyingi tunatarajia kufunga ndoa.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.