Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)zilizo zinduliwa na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi Verde Hotel Maruhubi Zanzibar.
Msaidizi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Tanzania Melina Stefano akitoa salamu za Benki hio katika hafla ya Uzinduzi wa Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)Verde Hotel Maruhubi Zanzibar.
Meneja wa Kanda ya Kusini mwa Afrika Benki ya Dunia Dk,Ernest Massiah akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)Verde Hotel Maruhubi Zanzibar.
Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui akiinua Mkono kuashiria kuwasalimia Wananchi waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)Verde Hotel Maruhubi Zanzibar.
Baadhi ya Wauguzi na Madaktari wakiinua Mikono kuashiria Uungaji Mkono hatua zinazochukuliwa na Wizara ya Afya katika hafla ya Uzinduzi wa Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)Verde Hotel Maruhubi Zanzibar.