Home LOCAL Dkt. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA UMOJA WA...

Dkt. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA UMOJA WA ULAYA ZANZIBAR

   WASHIRIKI wa Kongamano la Biashara Kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar lililofanyika leo 27-2-2025.(Picha na Ikulu)

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini wa sapoti ya Umoja wa Ulaya (EU) na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) akisaini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar Ndg.Saleh Saad Mohamed, kwa upande wa EU amesaini Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika Mashariki Mhe. Christine Grau (kushoto) wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara Kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 27-2-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Biashara Kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya,linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 27-2-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Ripoti ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya Zanzibar akiwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika Mashariki Mhe.Christine Grau, baada ya kuizindua leo 27-2-2025, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika Mashariki Mhe.Christine Grau, baada ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 27-2-2025.(Picha na Ikulu)