Home BUSINESS RUZUKU YA NISHATI SAFI KUWANUFAISHA WANANCHI

RUZUKU YA NISHATI SAFI KUWANUFAISHA WANANCHI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis Januari 16, 2025 jijini Dodoma akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati iliyowasilishwa bungeni Februari, 2024.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga akiongoza kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati iliyowasilishwa bungeni Februari, 2024, kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais leo Januari 16, 2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati iliyowasilishwa bungeni Februari, 2024.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakifuatilia kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati iliyowasilishwa bungeni Februari, 2024, kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais leo Januari 16, 2025 jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here