Home LOCAL RAIS MWINYI AFUNGUA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KIJANGWANI IKIWA NI SHAMRASHAMRA...

RAIS MWINYI AFUNGUA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KIJANGWANI IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu

  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichai) akihutuba baada ya kukifungua Kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here