

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati akifungua mafunzo maalum ya Siku tano (5) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), yanayohusu usimamizi wa fedha za umma, yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali, yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC).




Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (mwenye tai ya Bendera ya Tanzania), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), baada ya kufungua mafunzo maalum ya Siku tano (5) kwa Kamati hiyo, yanayohusu usimamizi wa fedha za umma, yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali, yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC).Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha)