Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Kagera wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Ijuka Omuka linaloendelea katika Manispaa ya Bukoba Mjini mkoani Kagera, Disemba 19, 2024.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Machifu wa Mkoa wa Kagera wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Ijuka Omuka linaloendelea katika Manispaa ya Bukoba Mjini mkoani Kagera Disemba 19, 2024.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (wa pili kulia) akishuhudia mila na desturi za ulaji wa chakula cha kihaya wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Ijuka Omuka linaloendelea katika Manispaa ya Bukoba Mjini mkoani Kagera Disemba 19, 2024.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa dini na wabunge wa Mkoa wa Kagera wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Ijuka Omuka lililofanyika katika ukumbi wa KCU Bukoba Mjini mkoani Kagera, Disemba 19, 2024.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akikabidhiwa tuzo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuinua uchumi wa Kagera wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Ijuka Omuka lililofanyika katika ukumbi wa KCU Bukoba Mjini mkoani Kagera, Disemba 19, 2024