Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 01 Desemba, 2024.
Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wale wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani wakiwa kwenye kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 01 Desemba, 2024.