Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA MAKAZI KWA WATUMISHI WA UMMA

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA MAKAZI KWA WATUMISHI WA UMMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi mbalimbali wakivuta kitambaa kwenye Uwekaji Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma katika eneo la Njedengwa Mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma wakati wa hafla iliyofanyika katika eneo la Njedengwa Mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2024.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Mfenesi katika moja ya nyumba zilizojengwa kupitia Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango huo iliyofanyika katika eneo la Njedengwa Mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2024.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi mbalimbali wakitembelea mtaa wa Utumishi ambao umejengwa nyumba mbalimbali kwaajili ya Watumishi wa Umma uliopo eneo la Njedengwa mkoani Dodoma wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma tarehe 11 Desemba 2024.

    

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma katika wa hafla iliyofanyika eneo la Njedengwa Mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2024.

Previous articleREA YAFIKISHA UJUMBE WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO
Next articleRAIS DKT. MWINYI AZINDUA RASIMU YA DIRA YA TAIFA 2050
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here