Home LOCAL JAJI WARIOBA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI JIJINI DAR

JAJI WARIOBA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI JIJINI DAR

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mkutano na Wahariri, pamoja na waandishi wa habari, akitoa tathimini yake kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanya hivi karibuni. Mkutano huo umefanyika leo Disemba 4, 2024, Jijini Dar es Salaam.

 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba -kuhoto-akifafanua jambo alipokuwa akijibu maswali ya Wahariri na waandishi wa habari katika mkutano huo.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF, Deodatus Balile, akizungumza katika mkutano huo ulifanyika leo Disemba 4, 2024 Jijini Dar es  Salaam.

PICHA NA HUGHES DUGILO

PICHA MBALIMBALI ZA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA MKUTANO HUO.

   

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here