Home BUSINESS DKT. JAFO ATEMBELEA BANDA LA REA KWENYE MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI...

DKT. JAFO ATEMBELEA BANDA LA REA KWENYE MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI 2024

*Aipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini

*Asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia

*Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati akifunga Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 uliofanyika leo tarehe 5 Disemba, 2024 jijini Arusha.

 

Previous articleMWENYEKITI INEC AKAGUA MAFUNZO
Next articleKONGAMANO LA NNE LA WANATAALUMA LAWAKUTANISHA WADAU WA SEKTA YA UTALII
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here