Home LOCAL RAIS SAMIA AKISHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CHAMWINO

RAIS SAMIA AKISHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CHAMWINO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.