Home LOCAL RAIS AONGOZA KUAGA MWILI WA AYEKUWA KATIBU MTENDAJI WA TUME MAREHEMU LAWRENCE...

RAIS AONGOZA KUAGA MWILI WA AYEKUWA KATIBU MTENDAJI WA TUME MAREHEMU LAWRENCE NYASEBWA MAFUFU

 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaa, leo tarehe 14 Novemba, 2024