Home LOCAL MHE.SILAA APIGA KURA MTAA WA GULUKAKWALALA UKONGA

MHE.SILAA APIGA KURA MTAA WA GULUKAKWALALA UKONGA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mhe. Jerry William Silaa, ameungana na wananchi wa mtaa wa Gulukakwalala katika zoezi la upigaji kura la kuchagua kiongozi wa Serikali za Mitaa. Zoezi hili linafanyika leo, Novemba 27, 2024.

http://MHE.SILAA APIGA KURA MTAA WA GULUKAKWALALA UKONGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here