Home LOCAL MHE.MAJALIWA AWASIRI UWANJA WA NDEGE SONGEA

MHE.MAJALIWA AWASIRI UWANJA WA NDEGE SONGEA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 30, 2024 amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea ambapo kesho Disemba 01, 2024 atashiriki katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya UKIMWI Duniani.

Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo atakuwa ni Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango.