Home LOCAL Dkt. NCHIMBI ATOA HESHMA ZA MWISHO KWA MWILI WA GENERALI MUSUGURI JIJINI...

Dkt. NCHIMBI ATOA HESHMA ZA MWISHO KWA MWILI WA GENERALI MUSUGURI JIJINI DAR

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki matukio mbalimbali wakati wa ratiba ya kutoa heshima za mwisho kuaga mwili wa Jenerali David Bugozi Musuguri (mkuu wa majeshi mstaafu), shughuli iliyofanyika Kambi ya Jeshi Lugalo, jijini Dar Es Salaam, na kuongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Phillip Isdory Mpango, leo Ijumaa, 1 Novemba, 2024.