Home ENTERTAINMENTS DAWA YA MATAPELI WOTE, UKITAPELIWA TUMIA HII

DAWA YA MATAPELI WOTE, UKITAPELIWA TUMIA HII

Jina langu ni Mami wa Dar es Salaam, Tanzania, wakati naanza kazi, nilifurahi, nilihitaji chumba kipendeze, nivae nguo safi niwe sawa na wengine maana maisha ya wewe kila siku nyuma tu wala haipendezi.  

Basi, mwisho wa mwezi mshahara ukaingia kwenye akaunti yangu ya Benki Nilipanga kwenda kununua vitu vingi vya ndani na nguo kidogo.

Siku moja nilikutana na mama mtu mzima naye anaenda sehemu ninayoelekea, yule mama nilipanda naye gari moja, konda akaanza kudai nauli  alipofika kwa yule mama kumbe hakuwa na fedha ya nauli. 

Ghafla ugomvi ukaanza, masikini yule mama alilalamika haoni walet yake, na pochi imechanika. Hata hivyo, Konda akawa mkali, akimrushia yule mama maneno.Yule mama alikaa kimya, kwa aibu na fedhea. 

Konda akasema, utashukia njiani , mama akasema, nitashuka hakuna shida. Konda akaendelea kukusanya kwa wengine huku akimuita yule mama Tapeli.

Watu wengi waliongea, na kusema kuwa matapeli wamekuwa wengi siku hizi. Wengine walimtetea yule mama na kusema konda amsamehe. Yule mama, akasema nimeibiwa jamani, na simu yangu pia siioni ndio maana nakuwa mpole. Watu wakazidi kulumbana.

Konda akafika kwangu, nikamwambia nalipa na ya yule mama. Akaropoka “mama kuna mtu kakuokoa” basi yule mama akakaa kimya. Tulipofika Mlimani City, tukashuka. Yule mama akaja akaniambia “Asante mwanangu”.

Akaendelea kusema, mwanangu nimeibiwa vitu vyangu pamoja na simu pia. Sijui vimechukuliwa saa ngapi. Nilikuwa na lengo la kuja kumnunulia mwanangu viatu na madaftari anaenda shule wiki ijayo.

Pamoja na kupata wasiwasi na moyo kusitasita, bado huruma ilinijaa baada ya kusikia yaliyomkuta mama yule. Naelewa jinsi wazazi wanavyopambana kwa ajili ya watoto. Mimi nilishuhudia wazazi wakiuza mali zao nisome. Hivyo nilielewa.

Yule Mama akaniomba nimkopeshe Tsh150,000 na akipata atanirudishia, nilisita lakini nikaamua kumpa, akanipatia namba yake, akaniambia baada ya wiki mbili nimtafute. 

Baada ya wiki mbili nikawa kila nikipiga ile namba haipokelewi, baadaye akapokea nikamkumbusha akasema hanijui nitakuwa nimekosea namba. 

Nilichukia sana, nikachukua simu nikampigia Dr Bokko kwa namba zake hizi +255618536050, huyu amekuwa akinisadia sana pale ambapo natapeliwa fedha au mali zangu. Nilizungumza naye na akaniambia nitapata tu hizo fedha. 

Asubuhi moja nikasikia mlango unagongwa, kwenda kufungua ni yule mama amekuja analia, hawezi hata kuongea, akanippa fedha zangu nikarudi ndani nikamuacha hapo nje. Sikujua ni kipi hasa kilichompata. 

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here