Home ENTERTAINMENTS WAZIRI MKUU MGENI RASMI BUHAYA FESTIVAL

WAZIRI MKUU MGENI RASMI BUHAYA FESTIVAL

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 27, 2024 ni mgeni rasmi katika Tamasha la Buhaya ‘Buhaya Festival’ linalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Lengo la tamasha hilo ni kutangaza na kutambulisha fursa za vivutio vya utalii na uwekezaji vinavyopatikana mkoani Kagera.

Aidha, Tamasha hilo pia linalotoa fursa ya kuenzi na kuendeleza mila na desturi za jamii ya Wahaya kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Kagera.

 

Previous articleMAJALIWA: WATANZANIA TULINDE UTAMADUNI WETU KWA FAIDA YA VIZAZI VIJAVYO
Next articleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO 28,OCTOBER 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here