Home BUSINESS WAZIR JAFO APOKEA TUZO YA TANTRADE URATIBU BORA MAONESHO YA MADINI GEITA

WAZIR JAFO APOKEA TUZO YA TANTRADE URATIBU BORA MAONESHO YA MADINI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo tuzo kwa niaba ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TanTrade) kwa kutambua usimamizi bora na uratibu wa Maonesho ya biashara ndani na nje ya nchi na kutoa huduma ya kliniki ya biashara kipindi cha Maonesho ya 7 ya kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika Viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita, maonesho hayo yamefingwa Leo Oktoba 13, 2024 ,

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo tuzo kwa niaba ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TanTrade) kwa kutambua usimamizi bora na uratibu wa Maonesho ya biashara ndani na nje ya nchi na kutoa huduma ya kliniki ya biashara kipindi cha Maonesho ya 7 ya kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika Viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita, maonesho hayo yamefingwa Leo Oktoba 13, 2024 , Kushoto ni Waziri wa Madini Anthony Mavunde.