Home BUSINESS WANANCHI WAMIMINIKA BANDA LA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) MAONESHO YA MADINI GEITA

WANANCHI WAMIMINIKA BANDA LA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) MAONESHO YA MADINI GEITA

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania [TPA] imepongezwa kwa utaratibu mzuri wa kutoa Elimu kwa Umma katika maonesho ya Saba ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea Mkoani Geita.

Idadi kubwa ya Wageni wanaotembelea Banda la TPA wamevutiwa sana na vifaa vya mfano vya kutolea huduma kama vile Meli za mfano za Mafuta, Makasha, Mzigo mchanganyiko na mashine za kisasa za kuhudumia Shehena.

Maafisa wa TPA kutoka Idara mbalimbali wanashiriki katika zoezi la kutoa Elimu kwa Umma kuhusu huduma za kibandari kupitia maonesho hayo yanayoendelea hadi tarehe 12 Oktoba 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here