Home LOCAL WANANCHI WAFURIKA KUMSIKILIZA Dkt. NCHIMBI MASWA

WANANCHI WAFURIKA KUMSIKILIZA Dkt. NCHIMBI MASWA

Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mji wa Maswa wakifuatilia na kushiriki kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Viwanja vya Madeco mjini hapo, leo tarehe 8 Oktoba 2024. Balozi Nchimbi, ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, pamoja na Katibu wa NEC – Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Hamid Abdalla, yuko katika ziara ya siku tatu katika Mkoa wa Simiyu, aliyoianza tarehe 6 Oktoba, mwaka huu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here