Home BUSINESS RAIS SAMIA ATAMBUA MCHANGO WA BoT UNUNUZI WA DHAHABU

RAIS SAMIA ATAMBUA MCHANGO WA BoT UNUNUZI WA DHAHABU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Emmanuel Tutuba Tuzo ya utekelezaji wa jukumu la ununuzi wa madini nchini kutoka kwa wachimbaj wadogo wa madini ya dhahabu, wakati wa ufungaji wa Maonesho ya saba ya kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika Viwanja vya EPZA Bombambili mkoani Geita. Maonesho hayo yamefanyika kwa zaidi ya siku kumi kuanzia Octoba 2, na kufungwa rasmi leo Octoba Oktoba 13, 2024.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba kushoto akipata maelezo kutoka kwa  Edgar Mwakasitu Mhasibu Mwandamizi Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa  BoT wakati alipotembelea banda hilo kwenye Maonesho ya 7 ya kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofungwa Leo Oktoba  13′, 2024 Viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita. 

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba kushoto akipata maelezo kutoka kwa  Joshua Manga
Mchambuzi Masula ya Fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha  BoT wakati alipotembelea banda hilo kwenye Maonesho ya 7 ya kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofungwa Leo Oktoba  13′, 2024 Viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita. 

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Emmanuel Tutuba  akitoa maelekezo kwa  Joshua Manga Mchambuzi Masula ya Fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha BoT wakati alipotembelea banda hilo kwenye Maonesho ya 7 ya kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofungwa Leo Oktoba  13, 2024 Viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita, kushoto ni Bi. Vick Msina Meneja Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here