Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA MFUKO WA ABBOT IKULU

RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA MFUKO WA ABBOT IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot Bw. Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.
     

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here