Home BUSINESS RAIS SAMIA AFUNGA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA

RAIS SAMIA AFUNGA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Geita kabla ya kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini tarehe 13 Oktoba, 2024.

  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.
         Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Mkoani Geita wakiwa kwenye mkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani humo tarehe 13 Oktoba, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here