Home LOCAL RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MAKAMPUNI YA VODACOM

RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA MAKAMPUNI YA VODACOM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

   

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here