Home LOCAL RUJAT YASAJILI WANACHAMA WAPYA 64

RUJAT YASAJILI WANACHAMA WAPYA 64

Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT) katika kikao chake kilichofanyika mtandaoni, Septemba 28, 2024, kwa mamlaka kiliyopewa na Mkutano Mkuu wa RUJAT, pamoja na mambo mengine kimejadili maombi 66 ya uanachama na kupitisha waombaji 64 kuwa wanachama wapya. Hatua hii imeongeza idadi ya wanachama kufikia 173. RUJAT inawakaribisha tuungane katika kujenga tasnia ya habari inayojali maslahi ya jamii ya vijijini.

Majina ya wanachama wapya ni haya yafuatayo:

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here