Home ENTERTAINMENTS NIMEMFUMANIA MUME WANGU NA RAFIKI YANGU TENA KATIKA KITANDA CHANGU

NIMEMFUMANIA MUME WANGU NA RAFIKI YANGU TENA KATIKA KITANDA CHANGU

Waswahili hawakukosea kusema kikulacho kiko nguoni mwako, nasema hivyo kutokana na tukio lilonikuta maisha mwangu, kamwe siwezi kusahau na itakuwa ni vigumu sana kwa mimi kuja kumwamini sana rafiki yangu tena wa kike.

Jina langu ni Mama Sadiki, mwishoni mwa mwaka jana nilikutana na tukio moja kubwa la kushangaza maishani mwangu, nalo ni kumfumania mume wangu wa rafiki yangu wakifanya yao tena kwenye kitanda changu.

Nasema ni tukio la kushangaza kwa sababu huyu rafiki yangu alikuwa ni mtu wangu wa karibu sana, kila wakati angekuja nyumbani kwangu na angemsalimia mume wangu kwa heshima kama Shemeji yake wala usingedhania wanaweza kufanya kitendo kama hicho.

Hata hivyo, mume wangu kwa miaka mingi najua kuwa amekuwa na michepuko nje ya ndoa yetu ila sikudhaniwa kuwa anaweza hata kummezea mate rafiki yangu tena wa karibu kiasi hicho.

Ila kilichotokea ni matokeo ya kwenda kwa Dr Bokko na kumuomba anifanyie dawa ya kumfunga mume wangu asiweze kuwa na michepuko au mpango wa kando katika ndoa yetu maana nilichoshwa na visa vya usaliti katika ndoa.

Basi ilikuwa ni wiki tatu zimepita tangu nitoke kwa Dr Bokko ndipo nikaweza kumfumania mume wangu, ni wazi kuwa dawa zile ndizo ziliweza kuleta matunda hayo, pengine bila hivyo nisingeza kuwashika.

Mume wangu aliomba msamaha sana, nilipomuulza ni mara ngapi wamekuwa wakifanya hivyo, aliniambia hiyo ilikuwa ni zaidi ya mara 10, hivyo nikajua ulikuwa ni mchezo wao wa siku nyingi ila Kiwanga kanisaidia kumkamata adui yangu!. Mpigie  Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Mwisho.

Previous articleMKURUGENZI MKUU EWURA AWATAKA WAFANYAKAZI KUZINGATIA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
Next articleSERIKALI YASAKA UBIA PPP KWENYE MIRADI YA KUSAFIRISHA UMEME
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here