Home BUSINESS NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO KATIKA BANDA LA STAMICO

NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO KATIKA BANDA LA STAMICO

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika ufunguzi wa maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Tenkonolojia ya Madini 2024 yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita

Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO,  Afisa Uhusiano Mkuu wa STAMICO Bw. Gabriel Nderumaki kulia na Rais wa Chama Cha Wachimbaji wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA),  John Bina  kushoto wakijadiliana jambo katika  banda la shirika hilo wakati wa  ufunguzi wa maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Tenkonolojia ya Madini 2024 yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akiwa katika banda la STAMICO wakati alipotembelea banda hilo wa pili kutoka kulia ni Waziri wa Madini Anthony Mavunde, mwisho kulia ni Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Geita Martine Shigella.

 

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipiga makofi kuonesha kufurahishwa na tekonolojia mpya ya kutoa mchanga wa makinikia ya dhahabu kwenye mashimo ambao haujachenjuliwa kwa kutumia injini za bajaji ambapo imewarahisishia wachimbaji wadogo na kuwapa ufanisi mkubwa tofauti na hapo awali walipokuwa wakitoa mchanga kwa kutumia kamba za kawaida.

 

Previous articleRAIS WA ZANZIBAR, DKT. MWINYI AONGOZA HAFLA MAALUM YA SHUKRANI YA “UZAZI NI MAISHA” KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO
Next articleNAIBU WAZIRI MKUU BITENAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA MPANGO WA KUONGEZA AKIBA YA DHAHABU NCHINIKO AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA MPANGO WA KUONGEZA AKIBA YA DHAHABU NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here