Home BUSINESS NAIBU WAZIRI MKUU Dkt. BITEKO AUPONGEZA MGODI WA BUCKREEF

NAIBU WAZIRI MKUU Dkt. BITEKO AUPONGEZA MGODI WA BUCKREEF

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Naibu Waziri Mkuu na Wziri wa Nishati Dkt. Doto Bitteko – kuli- akipata maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi wa Mgodi wa Backreef,  Gaston Mujwahuzi – kushoto- wakati Nibu Waziri Mkuu huyo alipotembelea Banda la Mgodi huo katika hafla ya ufungi wa maoneshoya saba ya Teknolojia katika Sektaya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZ Bombambili mkoani Geita.