Home BUSINESS NAIBU WAZIRI KIRUSWA ATEMBELEA BANDAA LA BoT MAONESHO YA MADINI GEITA

NAIBU WAZIRI KIRUSWA ATEMBELEA BANDAA LA BoT MAONESHO YA MADINI GEITA

Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses (kushoto), wakati alipotembelea katika katika  banda la BoT  kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.

Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa (kulia), akipata maelezo kutoka  Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses (kushoto), wakati alipotembelea  banda la Benki hiyo kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.

Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa (wa pili kuhoto), akipata maelezo kutoka kwa Issa Pagali (kulia), Meneja Msaidizi, Idara ya Uchumi – Benki Kuuya Tanzania Tawi la Mwanza, wakati alipotemelea katika banda la benki hiyo, kwenye maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita (kushoto), ni  Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses. 

Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa  akipokea zawadi ya mfano wa Sarafu ya shilingi 500 kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses. alipotembelea  katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita. 

Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa  akitoa maagizo kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses.  alipotembelea  katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita.

Naibu Waziri wa Madini Dkt Steven Kiruswa  akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses.  alipotembelea  katika banda la BoT kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here