Home ENTERTAINMENTS MPENZI WANGU KAPEWA UJAUZITO NA MTU MWINGINE, BADO NAMPENDA SANA

MPENZI WANGU KAPEWA UJAUZITO NA MTU MWINGINE, BADO NAMPENDA SANA

Jina langu ni Abeli, nakumbuka nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana, nilimgharamikia kila kitu kwa lengo la kuja kumuoa hapo baadaye lakini akaja kunisaliti na mtu mwingine na kuniacha bila huruma, kamwe siwezi kusahau.

Mpenzi wangu huyu, nakumbuka katika mahusiano yetu tulikuwa tunapigiana simu sana usiku na kuzungumza mipango yetu ya maisha na ndoa yetu itakavyokuwa.

Hata hiyo, baada ya muda kila ambapo nilipokuwa napiga simu yake ilikuwa inatumika na muda mwingine alikuwa hapokei kabisa, hata hata baadaye alikuwa hanitafuti.
Kila nilipomuuliza alikuwa anajibu kuwa ametingwa na kazi nyingi, mimi nililazimika kumuelewa kutokana nilimpenda sana kupita maelezo, katika maisha yangu sikuwahi kupenda kama hivyo.

Baada ya muda nilikuja kugundua yupo na mwanaume mwingine, nilimuuliza kuhusu hilo akanijibu ni kweli, yeye amejikuta akimpenda tu bila kujua sababu ni ipi, kweli mapenzi kizungumkuti.
Sikuwa na neno, niliamua kuachana naye na kupiga moyo konde kwamba siku moja nitakuja kupata wangu ambaye atakuwa ni mkweli maishani mwangu asiyekuwa na chembe la usaliti daima.
Hata huvyo, mpenzi wangu huyu wa zamani alikuwa anaposti picha mtandaoni akiwa na mpenzi wake, kila nilipokuwa naona moyo wangu ulikuwa unaumia sana na kutamani arudi kwangu moja.

Mimi kama mimi kila nikikumbuka mipango ambayo tulikuwa tumeweka na huyo mpenzi wangu mpya moyo wangu ilikuwa unauma na kuona kama nitakufa.

Niseme ukweli nilikuwa na wivu sana kwake, nilitamani kuona akirejea kwangu na kuwa wangu pekee yangu kama ilivyokuwa hapo.

Kwenye mitandao ya kijamii niliweza kupata namba ya Dr Bokko nilijaribu kupiga, ikaita na kupokelewa, nilieleza shida yangu kuwa nataka kumrejesha mpenzi wangu katika himaya yangu.

Baada ya kuzungumza na Dr Bokko, nilianza kupata SMS kutoka kwa yule mpenzi wangu akinijulia hali, hapo nikajua kabisa kuwa dawa imenza kufanya kazi.

Siku mbili mbele, Mamura alinipigia simu mwenyewe na kuanza kulia, huku akiomba sana msamaha kwa yote aliyotokea na kutaka kugangwe yajayo.

Kwa vili nilimpenda sana nilikubali kumsamehe kiroho safi tu na kusema hakuna binadamu asiyekuwa na makosa kwani hakuna mtu mkamilifu hapa duniani.
Tatizo jambo linalonisumbua kwa huyu mpenzi wangu ni kwamba amekuja kuniambia ana ujauzito wa yule kijana aliyekuwa naye kwa kipindi kifupi, amenisistiza kama kweli nampenda ni kubali kulea hiyo mimba.

Mpigie Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here