Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kushoto akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati alipotembelea banda la Bodi hiyo katika maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong kushoto akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati alipotembelea banda la Bodi hiyo katika maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita, Kushoto ni Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB .
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kukusho akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Bodi hiyo katika maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita, Kushoto ni Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong kushoto akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati alipotembelea banda la Bodi hiyo katika maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita, Kushoto ni Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB.