Home BUSINESS MKURUGENZI NTENDAJI WA MGODI WA GGML KATIKA BANDA LA BoT

MKURUGENZI NTENDAJI WA MGODI WA GGML KATIKA BANDA LA BoT

Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia)  akipata maelezo kutoka kwa  Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses wakati alipotembelea katika  banda la BoT  kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita Oktoba 12, 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia)  akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika  banda la BoT  kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses.

Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) katikati akipata maelezo kutoka kwa Issa Pagali Meneja Msaidizi, Idara ya Uchumi – Benki Kuu Tawi la Mwanza  wakati alipotemelea katika banda la benki hiyo maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita kushoto ni  Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses.

 Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kushoto ) akipata maelezo kutoka kwa  Joshua Manga
Mchambuzi masula ya Fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha wakati alipotemelea katika banda la benki hiyo maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita.

Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kushoto ) akipata maelezo kutoka kwa  Mamy Katikiro Afisa mkaguzi Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha alipotemelea katika banda la benki hiyo maonesho ya teknolojia ya madini mjini Geita.

Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia)  akipokea zawadi  kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano Benki Kuu ya Tanzania BoT, Bi. Noves Mosses Mara baada ya kutembelea atika banda la BoT  kwenye maonesho ya teknolojia ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here