Home LOCAL MHE.DKT.SAMIA AKIWA JIJINI MWANZA KUHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

MHE.DKT.SAMIA AKIWA JIJINI MWANZA KUHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kwa ajili ya kuhitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na kumbukizi ya miaka 25 ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini tarehe 14 Oktoba, 2024 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akivishwa Skafu mara baada ya kuwasili Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza kwenye kilele Cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya Miaka 25 ya Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere leo October 14,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo Ndugu Godfrey Eliakim Mzava kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza tarehe 14 Oktoba, 2024.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here