Home LOCAL MHE.DKT PHILIP AMEKUTANA  NA WAWEKEZAJI KAMPUNI YA UAE

MHE.DKT PHILIP AMEKUTANA  NA WAWEKEZAJI KAMPUNI YA UAE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Wawekezaji kutoka Kampuni ya Ansari Group Limited ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Dr. Sania Ansari. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 02 Oktoba 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here