Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UKUMBI WA MIKUTANO...

MAKAMU WA RAIS AKIWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UKUMBI WA MIKUTANO UYUI

Mamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui wakati akiwa ziarani Mkoani Tabora tarehe 09 Oktoba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui wakati akiwa ziarani Mkoani Tabora tarehe 09 Oktoba 2024.

   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili Wilayani Uyui kwaajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui wakati akiwa ziarani Mkoani Tabora tarehe 09 Oktoba 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here