Home LOCAL KUKOSA MISIMAMO KUNAWAGHARIMU CHADEMA.

KUKOSA MISIMAMO KUNAWAGHARIMU CHADEMA.

2021: Bila katiba mpya hatushiriki chaguzi wowote- Freeman Mbowe

Februari 2023: Bila katiba mpya Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu 2025- Tundu Lissu

Disemba 2023: Maandalizi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2025 unaendelea- John Mnyika

Julai 2024: Hatuta susia uchaguzi. Tuta pambana kuwatoa madarakani- Freeman Mbowe

Oktoba 2024: CCM inaandikisha wanafunzi kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa- Gobless Lema

Chadema hawajielewi na wao hawaeleweki. Kwa miaka mitatu wamekua wakisema hawata shiriki uchaguzi wowote bila katiba mpya. Hivyo waliweka mayai yao yote kwenye kapu la katiba mpua bila kujiandaa na chaguzi.

Leo wamebadili gia angani, wamekubali kushiriki chaguzi bila maandalizi yoyote na hata kabla ya mapambano wameanza visingizio. Wanatoa visingizio kwa sababu wanajua hawaja jiandaa na chaguzi za serikali za mitaa ni rasharasha tu, je uchaguzi mkuu itakuwaje.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here