Home LOCAL DKT. BITEKO NA WAZIRI WA NYUMBA MISRI KUSIMAMIA UKAMILISHAJI MRADI WA JNHPP

DKT. BITEKO NA WAZIRI WA NYUMBA MISRI KUSIMAMIA UKAMILISHAJI MRADI WA JNHPP

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 17, 2024 jijini Dar es salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba, Huduma na Jumuiya za Mijini kutoka nchini Misri, Mhe. Sherif EI Sherbiny.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamekubaliana kusimamia wakandarasi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ili kukamilisha mradi huo kwa wakati ambao hadi sasa umefikia asilimia 99 ya utekelezaji wake.

Aidha, Mhe. EI Sherbiny ambaye ameteuliwa hivi karibuni katika nafasi hiyo akiwa nchini atataembelea mradi wa JNHPP.

MWISHO

Previous articleWAZIRI BASHE AKITAKA CHUO KIKUU SUA KUENDESHA MIJADALA YA KILIMO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here