Home BUSINESS DIB YAFUNGA MAONESHO YA MADINI GEITA KWA KISHINDO, ZAIDI YA WATU 400...

DIB YAFUNGA MAONESHO YA MADINI GEITA KWA KISHINDO, ZAIDI YA WATU 400 WAHUDIMIWA

Mkurugenzi wa Bodi ya Amana  DIB Bw. Isack Kihwili, (katikati) akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliofika katika banda hilo Leo ili kupata elimu juu ya shughuli za bodi  katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofungwa Leo ma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita ambapo katika kipindi cha siku  kumi za maonesho hayo zaidi ya watu 400 walihudumiwa na kupata elimu, (kushoto) ni Mhasibu Mwandamizi  wa taasisi hiyo Bi. Kulwa James Kasuka na kulia ni Caren Max Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana. 

Wananchi waliofika katika banda hilo Leo ili kupata elimu juu ya  kazi zinazozifanywa  na Bodi hiyo katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofungwa Leo kwenye viwanja vya EPZA Bombambili mjini Geita (kushoto), ni Mhasibu Mwandamizi  wa DIB . 

Caren Max Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa wananchi waliofurika bandani hapo kupata elimu ya Mambo mbalimbali yanyofanywa na Bodi hiyo. 

Baadhi ya wanafunzi mbalimbali waliofika bandani hapo wakipiga picha ya pamoja Mara baada ya kuelimishwa kuhusu kazi za DIB. 

Caren Max Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana akitoa zawadi kwa wananchi waliofurika bandani hapo kupata elimu ya mambo mbalimbali yanyofanywa na Bodi hiyo. 

Previous articleWAZIR JAFO APOKEA TUZO YA TANTRADE URATIBU BORA MAONESHO YA MADINI GEITA
Next articleKAMWE SIWEZI KUTOA MWILI WANGU ILI NIPEWE KAZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here