Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Mawasiliano BoT, Bi. Noves Mosses wakati alipotembelea katika banda la Benki Kuu ya Tanzania BoT Leo Oktoba 9, 2024 kabla ya maonesho hayo ya Teknolojia ya Madini kufungwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mkoani Geita Oktoba 13, 2024
Waziri wa Madini Mh.Anthony Mavinde akipata maelezo kutoka kwa Edgar Mwakasitu -Mhasibu Mwandamizi Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa wakati alipotembelea katika banda hilo ka BoT.