Home SPORTS WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI JIJINI DAR

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI JIJINI DAR

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI ZA MAENDELEO BANK

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank Marathon 2024 zilizoanzia na kuishia katika viwanja vya Greenpark garden Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Lengo la mbio hizo ni kukusanya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kusaidia watoto wenye changamoto mbalimbali hapa nchini.

Kauli mbiu ya mbio hizo ni “Hatua ya Faraja- Msimu wa Pili”.