Home LOCAL WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO...

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza, wakati alipofungua Semina elekezi ya siku mbili kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, iliyofanyika katika Hoteli River Lodge Weruweru mkoani Kilimanjaro Septemba 06, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  

Baadhi ya Viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakiwa kwenye Semina elekezi ya siku mbili, iliyofanyika katika Hoteli River Lodge Weruweru Mkoani Kilimanjaro Septemba 06, 2024, ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikua mgeni rasmi katika ufunguzi huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here