Home LOCAL WAZIRI DKT. GWAJIMA, BALOZI MPYA IRELAND WAZUNGUMZA

WAZIRI DKT. GWAJIMA, BALOZI MPYA IRELAND WAZUNGUMZA

Na WMJJWM, Dar Es Salaam

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Ireland nchini, Mhe. Nicola Brennan aliyetembelea ofisi ndogo za Wizara jijini Dar Es Salaam Septemba 12, 2024 kwa lengo la kujitambulisha.

Katika mazungumzo yao Waziri Dkt. Gwajima amemueleza Balozi Nicola mafanikio, changamoto na maeneo ya kufanyia kazi pamoja hususani eneo la Jinsia.

Naye Balozi Nicola amesema kuwa, eneo la Jinsia ni kipaumbele kwa hasa katika kuwawezesha wanawake kwenye maeneo ya vijijini kujikwamua kiuchumi.

Previous articleDKT.PHILIP AHIMIZA UWEKEZAJI UPANDIKIZAJI MIMBA KWA WATU WENYE CHANGAMOTO HOSPITALI YA MUHIMBILI
Next articleMHE.HUSSEIN BASHE AIPONGEZA KAMPUNI YA GAKI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here