Home LOCAL RAIS SAMIA KUWA MWENYEKITI JUKWAA LA VIONGOZI WAKUU AFRIKA NA CHINA

RAIS SAMIA KUWA MWENYEKITI JUKWAA LA VIONGOZI WAKUU AFRIKA NA CHINA

BEIJING CHINA 

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi wakuu wa nchi za Afrika na China  mkutano unaotarajiwa kuaanza tarehe 4-6 Katika ziara yake nchini China 

Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Atahutubia ufunguzi wa mkutano wa FOCAC.

Atafanya mazungumzo na Rais China, Mhe. Xi Jinping na kushuhudia uwekaji saini wa Hati za Makubaliano ya Uboreshaji wa Reli ya TAZARA.

Atakutana na makampuni na wawekezaji kutoka China ili kuhamasisha uwekezaji zaidi nchini Tanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here