Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI NA WAKUU WA NCHI...

RAIS SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI NA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WANAOSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The Great Hall of the People kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kwa Wakuu wa Nchi na Serikali watakaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) Jijini Beijing tarehe 04 Septemba, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping aliyeambatana na Mkewe Profesa Peng Liyuan mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The Great Hall of the People kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kwa Wakuu wa Nchi na Serikali watakaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) Jijini Beijing tarehe 04 Septemba, 2024.

Previous articleRAIS SAMIA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAKUU WA NCHI YA CHINA NA AFRIKA (FOCAC).
Next articleRAIS SAMIA AKIHUTUBIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI (FOCAC) JIJINI BEIJING CHINA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here