Home BUSINESS RAIS SAMIA AKITEMBELEA SOKO LA MBINGA

RAIS SAMIA AKITEMBELEA SOKO LA MBINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya upimaji wa mahindi kutoka kwa Afisa Ununuzi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Ndugu Andrew Massawe na maelezo ya uchambuaji na usafishaji mahindi kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Dkt. Andrew Komba, katika kituo cha ununuaji wa mahindi Mbinga Sokoni kabla ya kuwasalimia wananchi wa wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbinga Sokoni wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here